BOOST SOKONI MEDIA
MAELEKEZO KWA DALALI/WAKALA
1. Ni nini?
Ni mtandao unaonadi bidhaa au mali mbalimbali kama vile nyumba,gari,vyumba vya kupanga na pikipiki.ofisi za boost sokoni zipo mwanza mabatini.
2. Wanafanyaje kazi?
Boost sokoni humuunganisha dalali katika mtandao ili aweke
bidhaa alizonazo kwa njia ya picha na video hivyo kupitia mtandao mteja ataona na kuwasiliana na ofisi husika.
3. Dalali ufaidikaje?
· Boost sokoni watatatangaza bidhaa zake kwa namna zote hivyo kupata wateja haraka.
· Dalali atalipwa ada ya ukaguzi wa mali(hela ya mguu)
· Dalali atapewa asilimia yake baada ya mauzo kulingana na makubaliano ya mali husika.
· Dalali hatalipia chochote kwa kuweka bidhaa zake mtandao wa boost sokoni.
4. Mauzo hufanyikaje?
· Uhakiki wa nyaraka za mali utafanyika kabla ya mauziano.
· Utaratibu wa mauziano utaandaliwa kwa ushirikiano wa mnunuzi,
mmiliki,dalali na boost sokoni.
· Boost sokoni ni waaminifu na uheshimu sheria.
VIDEO ZA MAFUNDISHO
JINSI YA KUJISAJILI KWENYE MTANDAO WA BOOST SOKONI
JINSI YA KUANDAA VIDEO YA SAUTI ILI KUWEKA BOOST SOKONI
JINSI YA KUWEKA VIDEO ZA SAUTI NA PICHA BOOST SOKONI
JINSI YA KUFUTA BIDHAA KATIKA MTANDAO WA BOOST SOKONI
JINSI YA MTEJA KUTAFUTA BIDHAA KATIKA MTANDAO WA BOOST SOKONI
JINSI YA KU SHARE BIDHAA ZA BOOST SOKONI KWENDA MITANDAO MINGINE
Kwa mawasiliano zaidi
0745 251274
